Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akivishwa urembo wa Kimasai alipotembelea banda linaloonyesha Utamaduni wa Kimasai katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akivishwa kofia na
mmoja wa washiriki wa Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili wakati
wa kutembelea mabanda Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na
watumishi wa Wizara yake alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na
Utalii katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City
jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) katika picha ya
pamoja na washiriki wa Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili
alipotembelea mabanda Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) katika picha ya
pamoja na watumishi wa Wizara yake alipotembelea Banda la Wizara ya
Maliasili na Utalii katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili
Mlimani City jijini Dar es Salaam.
0 Comments