Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi, akisalimiana na kubadilishana mawazo na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, alipokutana nao wakati wa kusubiria usafiri, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), mkoani Kilimanjaro.
0 Comments