Ticker

6/recent/ticker-posts

Walisema elimu na umri wangu wa miaka 40 sitaolewa ila sasa nina ndoa!


Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini mahusiano au ndoa za watu ambao hawajasoma zinadamu kuliko za wale ambao wana elimu kubwa? au ulishawahi kuona kitu kama hicho ndani ya jamii yako?.

Nimeuliza hivyo kwa sababu ni jambo ambalo lipo katika maisha yangu, mimi ni mwanamke ambaye kila mara nilijikuta katika mahusiano mapya, suala la elimu yangu lilifanya wanaume kuugopa kunioa ila walipenda wafaidi tu penzi langu.

Naitwa Khadija kutokea Moshi, Tanzania, mimi ni msomi wa ngazi ya master degree upande wa ecomomy, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 10.

Upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 40 nilikuwa sijaolewa, ni ajabu sana kwa tamaduni za Afrika.

Kila mwanaume niliyekuwa naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au akajitambulishe kwa wazazi wangu alikuwa anatafuta sababu ya kukimbia.

Baadhi ya watu wanasema wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wasomi kutokana wanaona ni vigumu kuwasimamia kitu ambacho naona sio kweli.

Kama mke nina wajibu wa kumtii na kumjali mume wangu, siwezi kuwa na kiburi au kufanya jeuri kisa nimesoma au nimemzidi elimu, hapana!.

Hata mume wangu wa sasa ni shahidi katika hilo na mwenyewe anasema hakutarajia kama ni mtu wa hivyo kwani hata mwanzo tulivyofunga ndoa alikuwa na aina fulani ya wasiwasi.

Baada ya mahusiano yangu kama ya nne kuvunjika, niliamua kutafuta njia mbadala, hiyo ni baada ya kuona nimefikisha miaka 38 bila kuolewa jambo ambalo lilifanya hata nyumbani kwetu kuanza kuniuliza maswali.

Nashukuru baada ya kusumbuka sana nilikuja kupata usaidizi kutoa kwa Dr Bokko baada ya kupatiwa mawasiliano yake na rafiki yangu wa karibu.

Dr Bokkoaliniambia licha ya umri wangu wa miaka 40 nisiwe na hofu kwani nitapata mume tena mwenye kuendana na mimi hadi nitashangaa.

Binafsi nilingojea kwa hamu kuona hilo likitimia katika maisha yangu maana ilifika hatua hadi naogopa kwenda nyumbani kusalimia kwa kuhisi wataanza kuniuliza kwanini hadi sasa sijaolewa.

Siku moja nikiwa natokea kazini niliita Uber ije inichukue, kufika yule dereva wa Uber alikuwa ni rafiki yangu wa miaka mingi ambaye tulikuwa tumeshibana kipindi tunasoma sekondari.

Yule kaka alifurahi sana kukutana na mimi na kuniambia kuna wakati walitafuta mawasiliano yangu bila mafanikio, tulizungumza mengi na akanipeleka hadi nyumbani na kumuonyesha ninapoishi.

Tulibadilishana namba za simu na akaniahidi kwamba wikiendi atakuja kunitembelea.

Wikiendi iliyofuatia alikuja nyumbani tukakaa na kuzungumza, alinieleza kwamba kuna wakati alioa ila alikuja kuachana na mkewe miaka mitatu iliyopita na sasa hana mtu.

Sikutaka kujirahisisha kwake, tuliendelea kuwasiliana na kutembeleana hadi pale yeye mwenyewe aliponitamkia kuwa ananipenda na anataka kunioa.

Nilifurahi sana kusikia hivyo, mara moja tulianza michakato ya kutambulishana kwa wazazi kwa pande zote mbili na hatimaye tulifunga ndoa na sasa tumejaliwa kupata mtoto watatu katika ndoa yetu ambayo naweza kusema ni tatu ajabu. Wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050.

Post a Comment

0 Comments